Hawo ndiyo Diploma II, katika picha ya pamoja, wakipiga picha ya pamoja kwa ajili ya ukumbusho katika kipindi cha mandalizi ya mahafali ya kumaliza chuo katika kozi ya diploma.
( ICT)
Raisi wa chuo upande wa kulia akiwa na waziri mkuu muda mchache baada ya kutoka kwenye kikao cha kutafuta muafaka juu ya swala la kuendelea kuwepo kwa serikali ya chuo au la. kwa mengi zaidi tembelea blog ya raisi (www.raisizoom.blogspot.com)
Wanafunzi wa Hoteli wakifanya mtihani ikiwa ni mitihani yao ya mwisho mwisho ili kumaliza mafunzo yao ya kozi ya Hotel (Tar: 11-01-2013)
PICHA NI MZURI LAKIN WAMEKAA UTAZANI WANTAIMBA KWAYA
ReplyDeleteHao wanafunzi wa hoteli kama vile wanaangaliana
ReplyDeleteumeooona eeee
ReplyDeleteMNA course ya driving?
ReplyDelete